Kuhusu DVDs

        DVDs Hizi zitakuwezesha kujifunza kwa njia ya TV kupitia Kifaa chakuchezesha DVDs(DVD player) ,Vile vile unaweza tumia kwenye kompyuta DVD ROM, ni nzuri sana, mada zimepangiliwa kwa mtiririko mzuri na unaweza chagua ipi utaanza nayo(Interactive DVDs), sauti na video zenye ubora,Maswali na majibu ya kujipima uelewa wa ulicho jifunza kwenye video(Interactive Review Questions and Answers) .

        DVDs zipo za Mafunzo Mbali Mbali na zinauzwa kwa bei nafuu, kuna za mafuzo ya TEHAMA, Maisha na Maswala ya kijamii, Masomo ya Shule za awali, Sekondari, Mpaka Chuo Kikuu, Vilevile zipo za katuni(Cartoon) mpya. Pia waweza agiza DVDs unayo itaji kupitia MAWASILIANO au kujaza fomu ya KUAGIZA DVDs.

Bonyeza Kupata
  • MAWASILIANO
  • Bonyeza Kuagiza
  • AGIZA DVDs
  •                                   
                                                                                           Asante
                                                                                       Karibu tena.

    0 comments :

     
    Copyright © 2015,16,17,18,19,20,21!. E-DVDs-TANZANIA