WAZEE WETU

WAZEE WETU
























Zipo DVD nne, zina maojiano ya anna kwa anna na wazee waliozaliwa miaka ya 1800s hatakabla ya uhuru wa tanzania wapo wazee mbalimbali wamelezea kuhusu maisha yao waliyo pitia vilevile kutoa ushauri kwa vijana, pia wameelezea elimu yao waliyo pitia, maisha ya ndoa, siasa ya kipindi kile na hivi sasa, vipo vitu vingi vizuri sana wameelezea wazee wetu hawa.

0 comments :

 
Copyright © 2015,16,17,18,19,20,21!. E-DVDs-TANZANIA