Nelson Mandela

Nelson Mandela
























Ipo DVD moja, inamuelezea kwandani Mzee Nelson Mandale aliyekuwa anapambana kupigania uhuru wa Africa kusini kutoka kwa wa koloni, alifungwa gerezani miaka 27, Kipindi yupo Maakamani Mke wake Winnie aliendeleza mapambano mpaka alipo achiwa, baada ya kuachiwa huru alikuwa Raisi wa kwanza mweusi Afrika Kusini, Imetafsiriwa kwa kiswahili, ni nzuri utajifunza mengi. Video na Sauti ni nzuri pia.

0 comments :

 
Copyright © 2015,16,17,18,19,20,21!. E-DVDs-TANZANIA