ZOOO

ZOOO
























Zipo DVDs Mbili, Mwanafunzi wa kidato cha kwanza atajifunza mada zote kutoka kwa walimu wenye ujuzi mzuri sana katika kufundisha Hisabati, imefuata mfumo wa ufundishaji unaotumika hivi sasa Tanzania, Lugha ya Kiswahili na Kingereza imetumika.
EXCESIZE

EXCESIZE
























Zipo DVDs Mbili, Mwanafunzi wa kidato cha kwanza atajifunza mada zote kutoka kwa walimu wenye ujuzi mzuri sana katika kufundisha Hisabati, imefuata mfumo wa ufundishaji unaotumika hivi sasa Tanzania, Lugha ya Kiswahili na Kingereza imetumika.
Kwame Nkruma

Kwame Nkruma
























Ipo DVD moja, ina historia ya mpambanaji wa Uhuru wa Nchi ya Ghana na Mwanzishaji wa Umoja wa Nchi za Afrika, Imetafsiriwa kwa Lugha ya Kiswahili.
Haile Selassie

Haile Selassie
























Ipo DVD moja, ina hisitoria ya Mwanzilishi wa Umoja wa Africa ambaye pia alikuwa Raisi wa Kwanza Ethiopia Haile Sellasi, Imetafsiriwa kwa kiswahili.
Nelson Mandela

Nelson Mandela
























Ipo DVD moja, inamuelezea kwandani Mzee Nelson Mandale aliyekuwa anapambana kupigania uhuru wa Africa kusini kutoka kwa wa koloni, alifungwa gerezani miaka 27, Kipindi yupo Maakamani Mke wake Winnie aliendeleza mapambano mpaka alipo achiwa, baada ya kuachiwa huru alikuwa Raisi wa kwanza mweusi Afrika Kusini, Imetafsiriwa kwa kiswahili, ni nzuri utajifunza mengi. Video na Sauti ni nzuri pia.
Che Guevara

Che Guevara
























Ipo DVD moja ambayo inaelezea kwa undani kuhusu Che Guevara, alikuwa ni Mwanafunzi aliye hitimu shahada ya Udakitari huko Argentina na kuammua kupambana na ukandamizaji wa wananchi kutoka kwa wabepari wa amerika ya kusini, Cuba na Congo. Imetafsiriwa kwa kiswahili, video na sauti nzuri.
MAFUNZO NDOA

MAFUNZO NDOA
























Zipo DVDs Mbili utapata kujifunza maswala mbalimbali kuhusiana na ndoa, ni nzuri sana kwa wanao jianda kuingia kwenye ndoa au waliopo kwenye ndoa tayari, ipo katika lugha ya kiswahili.
MAZOEZI

MAZOEZI
























Zipo DVDs Mbili, Utapata kujifunza Mazoezi yakupunguza unene wa mwili ukiwa nyumbani, haitaji uwe kwenye gym, Utafundishwa na mtaalamu aliye bobea katika mazoezi ya viungo, ni video ipo katika lunga ya kingereza.

WAZEE WETU

WAZEE WETU
























Zipo DVD nne, zina maojiano ya anna kwa anna na wazee waliozaliwa miaka ya 1800s hatakabla ya uhuru wa tanzania wapo wazee mbalimbali wamelezea kuhusu maisha yao waliyo pitia vilevile kutoa ushauri kwa vijana, pia wameelezea elimu yao waliyo pitia, maisha ya ndoa, siasa ya kipindi kile na hivi sasa, vipo vitu vingi vizuri sana wameelezea wazee wetu hawa.

BONGO MUZIKI

BONGO MUZIKI
























Ipo DVD moja ina mkusanyiko wa nyimbo za video zote kali za msanii husika kwa mwaka 2016, zimepangiliwa vizuri na zina video na sauti nzuri (HD).

KIDS SONGS

KIDS SONGS
























Ipo DVD moja, Ninzuri sana kwa watoto waliopo shuleni na nyumbani pia, itawasaidia kujifunza nyimbo kumina mbili(12) za matukio muhimu na kujifunga herufi A-Z  kwa lugha ya kingereza kupitia video za katuni(Cartoon).

ETHICAL HACKING

ETHICAL HACKING
























Zipo DVDs Nne utapata kujifunza kwa kina kuhusiana na ETHICAL HACKING kupitia TV na Kompyuta DVD ROM pia, Ni nzuri sana, unajifunza kwa vitendo na unapata matokeo hapo hapo, imetumia lugha ya kingereza.
MATHS FORM ONE

MATHS FORM ONE
























Zipo DVDs Mbili, Mwanafunzi wa kidato cha kwanza atajifunza mada zote kutoka kwa walimu wenye ujuzi mzuri sana katika kufundisha Hisabati, imefuata mfumo wa ufundishaji unaotumika hivi sasa Tanzania, Lugha ya Kiswahili na Kingereza imetumika.
ICS FORM 1-4

ICS FORM 1-4
























Zipo DVDs Mbili, kwa ajili ya kujifunza teknologia za habari na mawasiliano kwa kidato cha kwanza mpaka cha nne, mada zimepangiliwa kufuata mtaala wa wizara ya elimu ya Tanzania, Ni nzuri sana, ina mafunzo ya vitendo yanayo mfanya manafunzi kuviona vifaa mbalimbali kupitia video bila kusimuliwa.
 
Copyright © 2015,16,17,18,19,20,21!. E-DVDs-TANZANIA